PHOTOS: MONEKANO WA GARI YA WEMA SEPETU BAADA YA KUPATA AJALI - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 31 May 2013

PHOTOS: MONEKANO WA GARI YA WEMA SEPETU BAADA YA KUPATA AJALI

Gari ya Miss Tanzania mwaka 2006 akijulikana kama WEMA SEPETU imeonekana kupata ajali na kuharibika vibaya sana. Kupitia ukurasa wa Instagram wa mwanadada Wema ametupia picha za ajali hiyo huku pamoja na mtu aliepata ajali na gari hilo ambae ni mfanyakazi wa kampuni yake ya Endeless Fame aliemtaja kwa jina la Robby. See photos za gari hiyo baada na kabla ya kupata ajali …