
Mechi za pili za Makundi ya UEFA CHAMPIONZ LIGI zimechezwa leo usiku kwa kusuhudia michezo ya hatua hiyo kumalizika.
nchini Enland kulikuwa na mchezo wa kiporo ambapo Man City walikuwa kwao Etihad Stadium wameifunga Borrusia Monchegladbach bao 4-0, huku ikishuhudiwa Sergio Aguero akimlipa hat-trick nyota mwezake wa Argentina na bao la nne likifungwa na mnigeria Kelechi Ihenacho.
Nao Real Madrid nusura waambulie kichapo baada ya kuzinduka mwishoni mwa kipindi cha pili na kuibanjua bao 2-1 Sporting Lisbon ya Ureno.
Matokeo Mengine
Bayern Leverkusen 2-2 Cska Moscow
Tottenham 1-2 Monaco
Legia Warszawa 0-6 Borrusia Dortmund
Club Brugge 0-3 Leicester City
Fc Porto 1-1 Fc Koebenhavn
Juventus 0-0 Sevilla
Lyon 3-0 Dinamo Zagreb