WAHITIMU BWAWANI SEKONDARI WAASWA KUWA WAADILIFU NA WAZALENDO KWA TAIFA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Saturday, 23 April 2016

WAHITIMU BWAWANI SEKONDARI WAASWA KUWA WAADILIFU NA WAZALENDO KWA TAIFA

Mgeni rasmi Kamishna wa Fedha na Utawala wa Magereza, Gaston Sanga akitoa cheti kwa mwanafunzi mhitimu wa kidato cha sita katika mahafali ya kwanza ya kidato cha sita Bwawani Sekondari, yaliyofanyika leo Aprili 22, 2016.(Picha zote na lucas mboje wa Jeshi la Magereza).
Mkuu wa shule ya Bwawani Sekondari, ACP. Emmanuel Lwinga akitoa maelezo mafupi ya maendeleo ya shule kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kutoa hotuba yake
Wanafunzi wahitimu wa Kidato cha sita Bwawani Sekondari wakiimba wimbo wa shule kwenye mahafali hayo yaliyofanyika leo Aprili 22, 2016, Mkoani Pwani.