BIFU YA DIAMOND, ALI KIBA IMEFIKIA HAPA...MENEJA AFUNGUKA KILA KITU - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Saturday, 23 April 2016

BIFU YA DIAMOND, ALI KIBA IMEFIKIA HAPA...MENEJA AFUNGUKA KILA KITU

SALLAM
DIAMOND & ALI KIBA


DIAMOND Platinumz ni mwanamuziki mkubwa Afrika, inatajwa kuwa msanii huyo ana timu nzuri nyuma yake ambayo imemwezesha kupata mafanikio mengi makubwa.