anasema , kwasababu amezaliwa mkoa wa dodoma na maeneo hayo anapenda sana kuwa karibu na watoto na kucheza nao kumemfanya awe na uwezo mkubwa wa kubuni vitu vingi vya sanaa kupitia tabia yake ya kukaa na kuona shughuli mbalimbali za watoto.
Kitu kikubwa anachoamini Stanley ni kuwa katika kila kipaji Mungu alichompa mtu basi kulikuwa na sababu moja kuwa sana , Kazi yake kuu ni msanii wa sanaa tofauti tofauti, art designer,break dancer,photographer, pia ni Magician
MALENGO YAKE
1.KUWASAIDIA WATOTO KUELEZA HISIA ZAO KWA JAMII
kwa njia mbalimbali na tofauti mojawapo ni njia za filamu za picha za mnato na video, na katika ndoto hii ameisha anza
2.KUWA NA KITUO CHA VIJANA WA FANI TOFAUTI TOFAUTI
lengo hili ni kuhamasisha vijana wenye malengo mengi na waliokata tamaa kuwaonesha njia kuwa bado hawajachelewa katika ndoto zao, kituo hiki kitawafanya vijana wanapata soko la uhakika katika dunia ya ushindani
AHSANTE KWA KUICHAGUA EGY BUSINESS SOLUTION KUWA SEHEMU YA KUJIFUNZA ZAIDI