DC wa Iringa Richard Kasesela Aamua "Kulipa" Pozi la Picha ya Kikwete - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Wednesday, 3 May 2017

DC wa Iringa Richard Kasesela Aamua "Kulipa" Pozi la Picha ya Kikwete



Mzee wa "Mapicha",Mkuu wa Wilaya ya Iringa Kasesela,ameamua kumlipa JK kwa pozi la kwenye sofa.Siku mbili hizi katika mitandao ya kijamii,kulienea picha ya Rais Mstaafu JK akiwa amepozi kwenye sofa huku anaperuzi na kudadisi kilongalonga chake.

Kasesela akaona isiwe tabu,ngoja na yeye alipe pozi la swahiba wake JK ili waende sambamba.
Pichani ni JK na Kasesela katika picha yenye mfanano wa mapozi

Unampa Maksi ngapi kwa Kupatia pozi?