AUDIO- CLOUDS FM WAMVULIA KOFIA MMILIKI WA THE CAPITAL TZ.COM.. SASA KUFIKA KILA MKOA !! - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 7 April 2017

AUDIO- CLOUDS FM WAMVULIA KOFIA MMILIKI WA THE CAPITAL TZ.COM.. SASA KUFIKA KILA MKOA !!

Picha ya Eng Msofe Msofe

#TEAM nzima ya XXL ambayo inaendesha kipindi hicho kutoka Clouds Fm leo ijumaa April 7 imefika Dodoma katika tour inayohusisha kila mkoa kwa mwisho wa mwezi na kutoa nafasi kwa Eng James Msofe kutengeneza Graphics za Mikoa yote iliyobaki ambayo kituo hicho kitatembelea.

Akionyesha kukubali kile ambacho C.E.O wa The Capitaltz.com  Msofe amekifanya, Hamisi Mandi"B Dozen" ambaye ni muongozaji wa XXL alitangaza kuwa kila graghics ambayo atatengeneza pia itakuwa kwenye malipo ya Fedha.


C.E.O Msofe alipata nafasi ya kuzungumza ambapo hakusita kutoa shukrani kwa wakazi wa Dodoma huku akionyesha furaha alitamka kuwa "ukipenda unachokifanya utaishi kwa amani sana, ndiyo maana anafanya vizuri na kuaminiwa sababu anapenda anachokifanya".

ikiwa unahitaji kufanya kazi na Msofe Graphics wasiliana nasi kupitia 0714 513 423 au
0713 961 793
Zaidi msikiliza hapa chini C.E.O Msofe akizungumza katika Enterview hiyo