YANGA YAPANGIWA KIGOGO MWINGINE AFRIKA, DROO NZIMA IPO HAPA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Tuesday, 21 March 2017

YANGA YAPANGIWA KIGOGO MWINGINE AFRIKA, DROO NZIMA IPO HAPA


Shirikisho la soka Africa Caf, leo hii nchini Misri yalipo makao makuu ya shirikisho hilo limepanga droo ya timu 32 bora katika michuano hiyo.

Klabu Yanga kutoka Tanzania imepangwa na  MC Algeria kutoka nchini Algeria.

Hata hivyo michezo ya awali ya kombe hilo itaanza April 4-9 huku hatua ya marudiano itakuwa April 14-16 mwaka huu