March 3 2017 mastaa wa Bongofleva Juma Jux, Barakah Da Prince na Ben Polwameandaa show kwa watu wao Dodoma ambayo itakuwa ni Live show mwanzo mwisho yaani bilakutumia CD na itafanyika Royal Village huku wakiwa wameipa jina la ‘333Experience‘ huku MC wakiwa ni Bdozen na MC Pilipili.
Sasa Good News ni kwamba mastaa hao wameamua kushow love kwa wasanii chipukizi kutoka Dodoma ambapo kazi ni mojatu wasanii watashindanisha kuimbi na yule atakayembuka mshindi atapewa shavu la kurekodiwa ngoma zake bure huku kazi yote ya usimamizi ikiwa kwao.
Yapo mengi wameyazungumza mbele ya waandishi wa habari Dodoma leo na tayari full video nimekuwekea hapa chini mtu wangu….
VIDEO: Kutana na Miss Kiki, Mtanzania maarufu South Africa kuliko Bongo