
Mabingwa watetezi katika michuano ya ligi kuu Tanzania Bara, Yanga Sc kesho watasafiri kuelekea nchini Zambia tayari kwa mchezo wa marudiano dhidi ya Zanaco Fc
Katibu mkuu wa klabu hiyo Charles Boniface mkwasa amesema taratibu zote zimekamilika ikiwemo maandalizi ya timu itakapofikia
Zaidi nimekuwekea video hapo chini katibu mkwasa anazungumza kuhusu safari