VIDEO: ‘Hata mke wangu sasa hivi wanasema sio raia’-Paul Makonda - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Sunday, 5 March 2017

VIDEO: ‘Hata mke wangu sasa hivi wanasema sio raia’-Paul Makonda

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameshiriki ibada na waumini wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ‘KKKT’ usharika wa Kimara Dar es salaam ambapo alipata nafasi ya kuzungumza mambo mbalimbali ikiwemo vita ya dawa za kulevya, Bonyeza play hapa chini nimekuwekea Full Video ya alichokizungumza.

‘Tutawapima wachezaji anayetumia dawa za kulevya tuta