Uteuzi uliofanywa na Rais Magufuli - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Sunday, 26 March 2017

Uteuzi uliofanywa na Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo March 25 2017 amemteua Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Kabla ya Uteuzi huo Charles Edward Kichere alikuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA.Charles Edward Kichere anachukua nafasi ya Alphayo Kidata ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Ikulu. Kufuatia uteuzi huo, nafasi ya Naibu Kamishna Mkuu wa TRA itajazwa baadaye.