PICHA 17: Wema Sepetu baada kufika nyumbani kwa Godbless Lema - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Sunday, 5 March 2017

PICHA 17: Wema Sepetu baada kufika nyumbani kwa Godbless Lema

Siku mbili baada ya Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini kuachiwa kwa dhamana, Leo Jumapili March 5, 2017 Muigizaji Wema Sepetu amemtembelea Mbunge huyo nyumbani kwake akiongozana na rafiki zake pamoja na mashabiki.
Ripota wako Godfrey TZA kutoka Arusha amekusogezea picha 17 kutokea nyumbani kwa Godbless Lema pamoja na video fupi kuonesha hali ilivyo nyumbani hapo.
               
VIDEO: Ulipitwa na hii ya Mama We