Ben Pol Aahidi kusaidia wasanii wa Dodoma...#DodomaKwanza - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Sunday, 5 March 2017

Ben Pol Aahidi kusaidia wasanii wa Dodoma...#DodomaKwanza

Ben Pol na Mh Antony Mavunde waahidi kunyanyua wasanii wa Dodoma, Ikumbukwe kuwa Mh, Antony Mavunde (MB) ameanza kwa muda mrefu kutengeneza mazingira ya kuwasaidia wasanii wa Dodoma akiwa kama Mlezi wa DODOMA KWANZA inayosimamia Wasanii wa Dodoma kwenye Sanaa zote.