
Kuna taarifa kwamba Jeshi la Polisi kanda maalum Dodoma linamshikilia Mwanasheria mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu baada ya kumkamata asubuhi ya leo March 16, 2017.
Ayo TV na millardayo.com imempata kwenye Exclusive Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA Tumaini Makene kwa ajili ya ufafanuzi wa taarifa hizo na tayari nimekusogezea kwenye hii sauti hapa chini..