Mtangazaji Bora wa Radio Kanda ya Kati Wiston Makangale alamba Mkataba Mnono A FM 92.9 Dodoma ... - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 9 January 2017

Mtangazaji Bora wa Radio Kanda ya Kati Wiston Makangale alamba Mkataba Mnono A FM 92.9 Dodoma ...


Mwaka 2017 Umeanza vizuri kwa Mtangazaji Maarufu Dodoma na Pia Mshindi wa Tuzo mbili za Matangazaji Bora wa radio Kanda ya kati. Mapema Wiki hii Wiston Makangale amesaini Mkataba na Radio mpya inayofanya vizuri sana Dodoma (A FM) Rasmi kwa kuanza kufanya kazi na kuungana na Team ya THE FINEST ....Makangale ametajwa kuwa ndio Mtangazaji mwenye Nguvu na wasikilizaji wengi kwenye vipindi vya Kiburudani.

Hatua hiyo Makangale amesema ni Kubwa sana na watu waendelee kusikiliza A FM kujua zaidi.