Maneno ya ROSE NDAUKA kuhusu (Mchekeshaji) MC Pilipili ...UKWELI NDIO HUU - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Sunday, 1 January 2017

Maneno ya ROSE NDAUKA kuhusu (Mchekeshaji) MC Pilipili ...UKWELI NDIO HUU


Baada ya kuenea uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa mchekeshaji MC Pilipili anatoka kimapeniz na Rose Ndauka, muigizaji huyo amekanusha uvumi huo.

Wiki chache zilizopita kupitia kipindi cha The Play List cha Times FM mchekeshaji huyo alidaiwa kukiri kutoka kimapenzi na muigizaji huyo.

Jana ijumaa muigizaji huyo amescreenshot ujumbe wa mtangazaji wa The Play List, Lilommy ambao ulidai huwenda wawili hao wakawa wanatoka kimapenzi na kuandaika

 “Jamaniii naomba niweke ili swala sawa sawa, mimi na MC Pilipili ni watu tunaofahamiana haswa kwenye kazi hatuna uhusiano wowote wa kimapenzi. NADHANI NTAKUWA NIMEELEWEKA”