VIDEO: Promota kaongea yote kwanini show ya Alikiba juzi Dodoma haikufanyika - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Tuesday, 27 December 2016

VIDEO: Promota kaongea yote kwanini show ya Alikiba juzi Dodoma haikufanyika

Baada ya Alikiba kushindwa kufanya show Dodoma siku ya Christmas na baadhi ya mitandao kusema kuwa mashabiki walimzomea na kutaka kumpiga, Rashid Adam maarufu Chidi Perugina ambaye ni meneja wa Waandaaji wa show amekubali kukaa kwenye AyoTV Exclusive Dodoma na kuelezea ukweli, tazama kwenye hii video hapa chini