Maamuzi ya RC Makonda baada ya kupelekewa mtoto mgonjwa ofisini kwake - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 16 December 2016

Maamuzi ya RC Makonda baada ya kupelekewa mtoto mgonjwa ofisini kwake

Leo December 16 2016 nje ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Andrew Komba (baba wa mtoto Alex) ambaye anasema alikuwa na shauku ya kumuona mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwa ajili ya kupata msaada wa matibabu ya mtoto wake ambaye ana uvimbe kichwani ambao umesababisha mwili kudhoofika.
Jitihada za Andrew kuonana zimefanikiwa ambapo nje ya ofisi za mkuu wa mkoa alikutana naye na kumsikiliza na alimpatia sh 200,000 kwa ajili ya matumizi ya leo na kingine amejitolea kutoa sh milioni 1 kwenye mshahara wake kila mwisho wa mwezi kwa ajili ya matibabu mpaka mtoto atakapopata nafuu. Bonyeza play hapa chini kutazama