CUF Yakubali Kushiriki Uchaguzi wa Mbunge Dimani.......Mwaka jana Walisusa Baada ya Jecha Kufuta Matokeo - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Tuesday, 13 December 2016

CUF Yakubali Kushiriki Uchaguzi wa Mbunge Dimani.......Mwaka jana Walisusa Baada ya Jecha Kufuta Matokeo

Kamati ya Utendaji ya CUF imepitisha majina matatu ya wanaowania kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Dimani, Mkoa wa Mjini Mgharibi kisiwani Unguja.  Wakati CUF imepitisha majina hayo yatakayokwenda kwenye mchujo wa kura ya maoni ndani ya chama hicho kupata jina moja, CCM nao wamepitisha majina matatu ambayo ni Juma Ali Juma, Hussein Migoda Mataka na Abdalla Sheria yatakayopitia...