BASI LAGONGA NYUMBA NA KUJERUHI WATU WATANO - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 19 December 2016

BASI LAGONGA NYUMBA NA KUJERUHI WATU WATANO



Watu watano wamejeruhiwa baada ya basi kugonga nyumba moja.
Basi hilo liligonga nyumba hiyo iliopo huko Homer Green karibu na mji wa Wycombe nchini Uingereza.
Abiria watatu walijeruhiwa huku mwanamme na mwanamke waliokuwa ndani ya nyumba hiyo pia wakijeruhiwa.
Via>>BBC