Miongoni mwa wachezaji wenye mafanikio katika soka ni Cristiano Ronaldo, siku za karibuni aliandika historia ya kuwa mchezaji bora na kunyakua tuzo ya Ballon D'or.
Ronaldo ameendelea kuwa mchezaji mwenye mafanikio hata akiwa na timu yake ya Real Madrid ambapo mwaka huu umekuwa wa mafanikio akishinda mataji ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE, LA LIGA na Kombe la dunia kwa upande wa Vilabu lililofanyika nchini Japan,akifanikiwa kutwaa pia michuano ya EUROPA CUP akiwa na timu yake ya taifa ya Ureno.
The Capitaltz.com tunaungana na Abbas Pira moja ya Watanzania waishio nchini England akiwa ni pekee aliywahi kufanya majaribio katika vilabu vya Chelsea, Mk Dons,Colchester United na Birmigham City.