AUDIO UCHAMBUZI-NIMEKUSOGEZEA SABABU ZINAZOFANYA WACHEZAJI KUSHINDWA KUTAMBA NJE YA NCHI NA KUREJEA KLABU ZAO ZA NYUMBANI - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 16 December 2016

AUDIO UCHAMBUZI-NIMEKUSOGEZEA SABABU ZINAZOFANYA WACHEZAJI KUSHINDWA KUTAMBA NJE YA NCHI NA KUREJEA KLABU ZAO ZA NYUMBANI

Picha ya Abbas Pira

Dirisha dogo la usajili limefungwa usiku wa kuamkia leo majira ya saa 6:00 kwa timu zinazoshiriki michuano ya ligi kuu na ligi daraja la kwanza nchini Tanzania.

Kipindi hiki cha usajili kimeshuhudia ujio wa nyota kutoka kona mbalimbali nchini na katika bara la Afrika wakiwemo nyota kadhaa kutoka Ghana, Daniel Agyei, James Kotei waliotua Simba, Yakubu Mohammedi, Stephan Kingue Mpondo na majina mengine kadhaa yaliyotua klabuni Azam, yanga hawakuwa nyuma katika sajili ambapo nao wamefanikiwa kukamilisha usajili wa Justice Zulu, Winstone Kalongo kutoka Zambia.

Tuache hayo, yapo majina kadhaa ya wachezaji wazawa ambao walikwenda kimataifa kusaka klabu na hatimaye wamerejea tena wakiwemo Mrisho khalfani Ngassa, Juma Liuzio ni miongoni mwao.

The Capitaltz.Com tunakuunganisha na Abbas Pira mtanzania aliyeko nchini England akiwa pekee amewahi kufanya majaribio katika vilabu vikubwa nchini humo zikiwemo timu za Chelsea, Birmigham City, Mk Dons, Colchester United aneleza hapa chini kwa sauti sababu za wachezaji kushindwa kufanya vizuri kimataifa na hatimaye wanarejea tena nyumbani