TheCapitalTz.Com tumekusogezea mistari mikali kutoka kwa kijana anayefanya muziki wa hip hop mkoani Morogoro Rajram Kipila.
Rapa huyo anayetamba kwa sasa na single yake inaitwa baraka akiwa mbioni kufanya kaziyake ingine akashare nasi baadhi ya mistari katika tungo zake
sikiliza na pakua hii hapa chini.