AUDIO-MSIKILIZE ABBAS PIRA KATIKA UCHAMBUZI UEFA CHAMPIONS LEAGUE,ARSENAL KUWAVAA THE BAVARIA..WATATOKA? - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 12 December 2016

AUDIO-MSIKILIZE ABBAS PIRA KATIKA UCHAMBUZI UEFA CHAMPIONS LEAGUE,ARSENAL KUWAVAA THE BAVARIA..WATATOKA?

DROO ya Raundi ya Mtoano ya UCL, UEFA CHAMPIONZ LIGI imefanyika huko Nyon, Uswisi na Mabingwa Watetezi Real Madrid kupangwa kucheza na Napoli.

Arsenal ya England itacheza na Vigogo wa Germany wakati PSG ikiivaa FC Barcelona.
Manchester Citi itaikwaa Monaco wakati Mabingwa wa England Leicester City wakicheza na Sevilla ya Spain.

Sikiliza hapa kiundani droo hiyo na uchambuzi kutoka Abbas Pira