Msanii wa Bongofleva Darassa Jumapili ya December 18 2016 akiwa njiani kutokea Kahama Shinyanga kuelekea Kakola Geita, amepata ajali ya gari akiwa na director wa video za Bongofleva Hanscana, gari ambayo alikuwa akiendesha yeyeDarassa.
VIDEO: Gari waliyopata nayo ajali Darassa na Hanscana wakitokea Kahama