Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainab Abdallah ndio mkuu wa wilaya mwenye umri mdogo kuliko wote Tanzania, pamoja na hayo unaweza kutamani kujua inakuaje kwenye uongozi wake na anafanyaje kazi, tazama kwenye hii video utaipata yote kikamilifu
UNAWEZA KUMSIKILIZA HAPA (VIDEO)