WAZIRI MKUU AKITETA JAMBO NA PROF. NDALICHAKO - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 4 November 2016

WAZIRI MKUU AKITETA JAMBO NA PROF. NDALICHAKO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).