VIDEO: Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7 - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Sunday, 27 November 2016

VIDEO: Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7

Hamidu ni Mtanzania ambaye elimu yake ni darasa la saba tu lakini hakukata tamaa sababu aliamini kufeli elimu sio kufeli maisha, akaamua kufanya kile alichoamini anakiweza na leo hii ni Milionea na ameanza kujenga kijiji cha nyumba zake 1500 Kigamboni Dar es salaam, stori yake kamili iko kwenye hii video hapa chini