VIDEO: Mazishi ya Spika mstaafu Samuel Sitta - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Saturday, 12 November 2016

VIDEO: Mazishi ya Spika mstaafu Samuel Sitta

November 12 2016 yamefanyika mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel John Sitta aliyefariki dunia November 7 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani.
Mazishi hayo yamefanyika Urambo Tabora kwenye eneo la makaburi ya ukoo wa Sitta ambayo yapo takribani km 2 kutoka nyumbani kwake.

VIDEO: Waziri Mkuu, Waziri Nape walivyoshindwa kujizuia na kumwaga machozi mazishi ya Samuel Sitta