VIDEO: Maneno ya Benjamin Mkapa alipoongea UDOM - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 25 November 2016

VIDEO: Maneno ya Benjamin Mkapa alipoongea UDOM

Novermber 24 2016 kumefanyika mahafali kwa wanafunzi wa chuo kikuu Dodoma(UDOM) katika ngazi mbalimbali ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Rais mstaafu wa Tanzania katika awamu ya tatu Benjamin Mkapa ambapo alipata nafasi ya kuzungumza na waalikwa wa sherehe hiyo.
Mkapa amependekeza kuwepo na mkakati wa kuandaa mpango wa vyuo vikuu vyote vya serikali kuwa vinakutana kwa ajili ya kuzungumzia gharama za kiuendeshaji ambapo unaweza kumsikiliza kwenye hii video hapa chini..