TANZIA: SPIKA MSTAAFU WA BUNGE MH. SAMUEL SITTA AFARIKI DUNIA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Sunday, 6 November 2016

TANZIA: SPIKA MSTAAFU WA BUNGE MH. SAMUEL SITTA AFARIKI DUNIA

Taarifa iliyoigikia Globu ya Jamii asubuhi hii, inaeleza kwamba Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko nchini Ujerumani alikokuwa katika matibabu... taarifa rasmi itawajia baadae kidogo. Globu ya Jamii inatoa Pole kwa ndugu , jamaa na marafiki wote na Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi"