RAIS MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA JOSEPH MUNGAI KARIMJEE DAR - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Thursday, 10 November 2016

RAIS MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA JOSEPH MUNGAI KARIMJEE DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Joseph Mungai katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 10,2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na waombolezaji waliofika kuaga mwili wa Marehemu Joseph Mungai katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 10,2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu awamu ya tatu Benjamin Mkapa pamoja na waombolezaji wengine walipofika kuaga mwili wa Marehemu Joseph Mungai katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 10,2016

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akitoa salamu za serikali wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Joseph Mungai katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 10,2016- Picha na IKULU