HONGERA Rais Magufuli kwa Kutupunguzia Mabishoo Mtaani - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Wednesday, 23 November 2016

HONGERA Rais Magufuli kwa Kutupunguzia Mabishoo Mtaani


Usawa huu wa mh magu nmeupenda sana, mabishoo wamepungua kwa kasi sana waliobaki ni vichwa ngumu kweli kwao somo la nyakati walishafeli totally.

Ama kweli mia tano tutaacha kuiita jero, book tutairudishia utukufu wake wa kufahamika kama sh.elf moja.

HAPA MSOTO TU.