C H U O C H A
E L I M U Y A B I
A S H A R A (CBE)
TANGAZO LA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO NGAZI YAASTASHAHADA (CERTIFICATE) NA STASHAHADA(DIPLOMA) KWAMWAKA WA MASOMO 2014/2015 KATIKA FANI ZIFUATAZO:
- Uhasibu
( Accountancy)
- Masoko
(Marketing Management)
- Ununuzi
na Ugavi (Procurement & Supplies Management)
- Usimamizi wa Biashara (Business Administration)
1. Fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni Jengo la chuo kikuu Huria
( Kituocha Mbeya) Forest zamani, CBE DAR ES SALAAM, CBE DODOMA,CBE MWANZA au Bofya
hapa Chini Ku Download
2. Wahitimu wa kidato cha nne wenye ufaulu usiopungua D nne
watajiunga moja kwa moja.
3. Kujiunga
na stashahada
(diploma) wahitimu wa kidato cha
sita wenye ufaulu usiopungua Principal pass moja, subsidiary pass mbili Au wenye astashahada
husika yaani (certificate) kutoka Chuo kinachotambuliwa
naNACTE
Masomo
kwa ngazi zote yanatolewa kuanzia asubuhi hadi jioni (FULLTIME) na jioni (EVENING PROGRAM) jumatatu hadi ijumaa.
Ewe mwananchi jiunge na chuo chenye uzoefu wa zaidi ya miaka 49 katika elimuya Biashara, Ujasiriamali, Ushauri na Utafiti.
Tunaendelea kupokea
maombi ya kujiunga katika
ngazi zote
Kwa maelezo
zaidi piga simu namba, 0654-878704 / 0767-288874
