Hawa wawili wamekuwa Pamoja Muda Mrefu sana, Hapa Jaco Beatz Katumia njia ya sanaa kuwasilisha hisia zake kwa Mpenzi wako na kuwakilisha watu wote wenye love ya Kweli kwa wapenzi wao... Please Fanya kama unasikiliza Kionjo cha Wimbo huu hapa chini
Follow : Cleopatra Poulsen Follow: Jaco Beatz
SIKILIZA | DOWNLOAD
