MAKAMU MWENYEKITI BUNGE MAALUM LA KATIBA SAMIA SULUHU KUCHUANA NA AMINA ABDALAH AMOUR - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Thursday, 13 March 2014

MAKAMU MWENYEKITI BUNGE MAALUM LA KATIBA SAMIA SULUHU KUCHUANA NA AMINA ABDALAH AMOUR

Mgombea wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu Hassan, ambaye ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Jimbo la Makunduchi Zanzibar. Samia kwa sasa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano.

 Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Amina Abdallah Amour. Amina ni mjumbe kutoka Visiwani Zanzibar.