BREAKING NEWSS : BUNGE MAALUM LA KATIBA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA VURUGU - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Thursday, 6 March 2014

BREAKING NEWSS : BUNGE MAALUM LA KATIBA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA VURUGU


Mwenyekiti wa Muda wa Bumge maalum La Katiba Mh Pandu Kificho Ameahirisha Semina ya kujadili Kanunu za Bunge Maalum la Katika Kutokana na Vuruguru Kutokana na Hali ya Kutokuelewana Kati ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mh Ole Sendeka Kutoleana maneno na Mbunge Mwenzake wakati Mbunge Huyo alipohoji kuhusu Kanuni hizo