PICHA ZA USTADHI ALIYEMCHINJA MTOTO JAMALI SALUM - MBAGALA CHARAMBE - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Monday, 24 February 2014

PICHA ZA USTADHI ALIYEMCHINJA MTOTO JAMALI SALUM - MBAGALA CHARAMBE

Marehemu Ustaadhi Ngulangwa ambae ndie aliyefanya unyama huo
Mtoto Jamal enzi za uhai wake

Hii habari imeripotiwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari yakiwemo magazeti ya mwishoni mwa juma lililopita,Hekaheka iliingia ndani zaidi na kuwepo hadi siku ya mazishi ambayo yalifanyika kukiwa na giza limeanza kuingia,sikiliza heka heka kupitia 88.5 Clouds Fm D’salaam. Bonyeza play kusikiliza