MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 14 February 2014

MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi na Mkurugenzi Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa China (CAAC)Li Jian (kulia) wakikabidhiana hati za mkataba wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa katika Makao makuu ya ofisi hiyo jijinia Dar es Salaam.

Baadhi ya wajumbe Kutoka nchini China waliohudhuria hafla ya utiliwaji mkataba wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha wataalam wa TCAA kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China.