Msanii wa kizazi kipya Z Anto amefiwa na mama yake mzazi leo mchana,baada ya kuugua kwa muda mrefu saratani ya Ini.
Kwa mujibu wa Z Anto #Msiba unafanyika nyumbani kwao kigamboni jijini Dar es Salaam.
Tunawapa pole ndugu,jamaa na marafiki wa karibu na familia ya Z Anto ambao wako katika kipindi hiki kigumu na Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu Amen.
Wednesday, 10 July 2013
New
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
