“KWELI NIMEKAMATWA SAUZI….LEO IJUMAA NAENDA MAHAKAMANI” – MASOGANGE - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Saturday, 13 July 2013

“KWELI NIMEKAMATWA SAUZI….LEO IJUMAA NAENDA MAHAKAMANI” – MASOGANGE


HUKU skendo ya kunaswa akiwa na madawa ya kulevya ikiendelea kumtesa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ anatarajiwa kupandishwa kortini nchini Afrika Kusini leo kujibu shitaka ambalo mwenyewe hajaliweka wazi, Ijumaa linakupasha.