Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo, mwanadada Kajala
ameandika na kuelezea jinsi ambavyo mtangazaji wa Clouds FM b dozen ama
B12 alivyoacha kazi zake siku kama ya leo mwaka jana na kumfuata Kajala
Masanja gereza la segera kwa ajili ya kusherehekea naye siku yake ya
kuzaliwa.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii kajala ameandika…
"nakumbuka mwaka jana siku kama ya leo uliacha kazi zako zote
ukaja segerea kuni wish happy birthday siwezikukusahau kwa ilo nakutakia
bday njema mungu azidi kukupa nguvu ufike miaka mingine 10000 me penda
wewe sana......."
Leo hii B12 anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo ni siku moja pamoja na mwigizaji Kajala Masanja
