Wasanii wa kizazi kipya hapa nchini Tanzania wameamua kupanga katika
kuhakikisha wanawasaidia wanafunzi kuto pata alama ya zero katika
mtihani wao wa mwisho wa Taifa. Accoding to artist Mwasiti as a coordinator wa huo mpango amesema
“kwa kushirikiana na wasanii wenzake kama Diamond,Kala Jeremiah,Maunda
Zohro, Keisha,Linah,Peter Msechu,Roma, Stamina na wasanii wengine
watahakikisha ujumbe wao unafanikiwa ili wanafunzi waondokane na matokeo
mabaya katika masomo yao”.
Pamoja na hayo Julai mwaka huu wanategemea kutoa wimbo wa Tokomeza
zero ili kuhamasisha wanafunzi kutambua kile wanachofundishwa na walimu
wao darasani
