"MIMI
KAMA MSANII BORA WA HIP HOP KWA MWAKA HUU NAPENDA KUCHUKUA MUDA HUU
KUWATANGAZIA WATU WOOTE KUWA KATIKA TUZO TATU NILIZOCHUKUA MOJA NAIKABIDHI KWA
ALBERT MANGWEA.YANI NI TUZO YA MANGWEA NA
NITAIPELEKA
KWA MAMA MZAZI WA MANGWEA MOROGORO.
NIMEAMUA HAYO
KWA KUWA HAYATI ALBERT
MANGWEA
ALIKUWA ANAFANYA MZIKI AMBAO UKO UPANDE AMBAO MIMI NIMESHINDA TUZO TATU YANI
HIP HOP.
TUZO
NILIYOAMUA KUMPA MANGWEA NI TUZO YA MSANII BORA WA HIP HOP.KWA KUWA ALIKUWA
ANASTAHILI PIA KUITWA HIVYO.
TUZO HII NAAMINI
ITAKUWA UKUMBUSHO MUHIMU SANA KWA FAMILIA YAKE.LAKINI PIA ITAKUWA INAONYESHA
MSHIKAMANO WETU KAMA WASANII WA HIP HOP.
POPOTE ULIPO
KAMA WEWE NI SHABIKI WA HIP HOP TAFUTA NJIA YOYOTE YA KUENDELEA KUMUENZI NDUGU
YETU"
MUNGU IBARIKI
TANZANIA MUNGU IBARIKI HIP HOP.