ROMA MKATOLIKI AKIWA NA MKE WAKE NA MTOTO WAO. - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Wednesday, 12 June 2013

ROMA MKATOLIKI AKIWA NA MKE WAKE NA MTOTO WAO.


 Inatokea mara chache sana kwa baadhi ya mastaa kukubali kuonyesha picha za wapenzi wao na watoto wao…. leo kwenye Exclusive ya millardayo.com rapper Roma Mkatoliki staa wa single ya ’2030′ amekubali kuonyesha picha za ‘wife’ wake pamoja na mtoto wao Ivan.