MLIPUAJI BOMU ARUSHA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Friday, 21 June 2013

MLIPUAJI BOMU ARUSHA

Arusha: Mashuhuda wa tukio la mlipuko wa bomu uliotokea mwishoni mwa wiki iliyopita Jijini Arusha, wamedai kumwona na kumtambua mtu aliyehusika na tukio hilo lakini wanasema walishidwa kumkamata kutokana na “kushambuliwa kwa risasi na polisi”.....SOMA ZAIDI