Tumejaribu kuangalia baadhi ya show alizofanya mwezi huu,
atakazofanya mwishoni mwa mwezi huu na mwezi ujao ili kukadiria ni kiasi
gani anaweza kuwa ameingiza. Baadhi ya show tunafahamu ni kiasi gani
aliingiza huku zingine tukikadiria kutokana na jinsi anavyochaji.
Show ya nchini Comoro 22 June
Katika show hii alisema alilipwa si chini ya $25,000 za kimarekani ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 38. Show za Usiku wa wasafi Tabora 28 na 29 June
Mara nyingi katika show za ndani Diamond hachukui si chini ya
shilingi milioni 10 kwa show mbili huenda akawa amelipwa zaidi ya
shilingi milioni 15.
Show ya Tigo Mwanza 30 June
Katika show za makampuni kama hizi Diamond hulipwa si chini ya shilingi milioni 10.
Kili Music Tour 2013, Tulipata taarifa kuwa Diamond atafanya show kwenye mikoa minne na kwamba amelipwa shilingi milioni 50 kwa show zote.
Show ya Matumaini 7 July
kwenye hii show diamond ana zaid ya mil.10
Show ya Kenya 27 July Kwenye show hii Diamond atashare stage na mastaa wa Nigeria, Ice Prince na Davido na hapa kama alivyosema kuwa katika show za nje ya nchi huwa hachukui chini ya dola 15,000. Kuna uwezekano hapa akawa amelipwa zaidi ya shilingi milioni 20. Kama una calculator basi unaweza ukapiga hesabu mwenyewe ni kiasi gani ameingiza kwa show za June na July.

Kumbuka pia kuwa show zote hata
za July tayari ameshasaini mkataba na ameshalipwa chake tayari. Kitu
kama milioni 140 na usheee!!
SOURCE bongo5
SOURCE bongo5