Msemaji wa Familia,ambae ni Kenneth Mangwair,Kuwa mwili autowasili tena Tarehe 1 mwezi wa sita alasiri kutoka nchini South Africa......kama ilivyotegemewa bali,utawasili siku ya Jumapili tarehe 2 ya mwezi wa Sita 2013 alasiri.......Hii imetokana na Watanzania waishio Nchini South Africa kuomba kwa Familia nao kupewa nafasi kutoa Heshima za mwisho kwa Super Star huyo wa Muziki wa Bongo......kwa mara ya mwisho katika safari ya mwisho ya Ndugu yetu Albert Mangwair....
Endelea kutembelea THE CAPITAL TZ BLOG kupata official updates zote za msiba
huu kwenye tasnia ya muziki wa Bongo,Albert Mangwair.....!!
Endelea kutembelea THE CAPITAL TZ BLOG kupata official updates zote za msiba
huu kwenye tasnia ya muziki wa Bongo,Albert Mangwair.....!!