VIDEO: Dodoma ndio nyumbani… tazama Ben Pol alichofanya kwenye FIESTA - CAPITAL TZ BLOG DODOMA

Latest

BANNER 728X90

Saturday, 17 September 2016

VIDEO: Dodoma ndio nyumbani… tazama Ben Pol alichofanya kwenye FIESTA

FIESTA 2016 ni jukwaa la burudani linaloendelea kutembea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania likieneza muziki wa bongofleva, kutukutanisha pamoja na kumbukumbu nyingine adimu kutengenezwa kwenye tukio hili.
September 16 2016 ilikua zamu ya Dodoma ambako ni nyumbani kwa kina Ben Pol, unaweza kutazama hii video hapa chini uone ilivyokuani uone ilivyokua.